Lil Ommy: Sichaguliwi kwenye tuzo kwa sababu ya Diamond, naamini mahojiano ya Alikiba, Harmonize Nandy hata Dimpoz yamenibeba sana (+Video)

Mtangazaji wa kituo cha habari cha Wasafi Media Omary Rajabu Tambwe alimaarufu Lilommy ameongea kwa furaha baada ya kuchaguliwa kwa mara ya pili mfululizo kushiriki au kuwani tuzo ya AEAUSA kama Mtangazaji bora Afrika.

Mwaka jana alichaguliwa na kufanikiw akushinda lakini kwa mara ya pili amechaguliwa tena na kuwaomba Watanzania kumpigia kura ili aweze kushinda.

Tambwe amezungumza kinachomfanya kuchaguliwa kuwania tuzo hizo na kusema kuwa sio kwa sababu ya Diamond au kwa sababu anafanya akzi kwenye media yake, sababu kubwa ni baadhi ya mahojiano aliyoyafanya mabyo anaamini yamembeba sana.

Lilommy ameyataja mahojiano ya wasanii wa ndnai kama Alikiba, Harmonize, Nandy Ommy Dimpoz na wengine huku akiwataja wasanii wa nje kama Nnasty C, Tiwa Savage  Van Vicker na kuongeza kuwa kwa ksababu waangaliwa sna anje y7a nchi huend aikwa sababu.

 

Mbali na hilo ameongeza kuwa juhudi zake za kufanya kazi ubunifu wake wa kazi na huku akikazia kuwa kwenye kazi yake mara nyingi halali kwa sbabu ya kuandaa vipindi hivyo ni baadhi ya mambo yaliyochangia yeye kuchaguliwa kwa mara ya pili.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW