Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Lil Wayne aruhusiwa kutoka hospitali

By  | 

Afya ya Lil Wayne imeanza kuimarika.

Jumapili iliyopita rapper huyo alipigwa na kifafa akiwa hotelini na kukimbizwa hospitali akiwa hajitabui. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, umeripoti kuwa Wayne ameruhusiwa kutoka hospitalini alipokuwa amelazwa mjini Las Vegas.

Kwa ujibu wa taarifa iliyotolewa na madaktari, rapper huyo amedaiwa kutakiwa kupumzika kwa kipindi cha wiki mbili bila ya kufanya kazi yoyote ikiwemo kupanda jukwaani kutumbuiza.

Kwa hiyo Lil Wayne atatarajiwa kuonekana tena jukwaani kwenye tamasha lake la mwezi Septemba 23 ya mwaka huu.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW