Burudani

Lil Wayne asaini deal na Jay Z!

Sean ‘Jay Z’ Carter na Dwayne ‘Lil Wayne’ Carter wamesaini deal la pamoja.

jay-z-wayne

Akiwa kwenye jukwaa la show ya Summer Jam huko Oakland, Jumamosi, Weezy alitangaza deal hilo. “I just signed a deal with my motherfu**in’ idol, Jay Z,” aliumbia umati uliokuwa ukimshuhudia.

Meneja wa Lil Wayne Bryant amezungumza na mtandao wa Billboard kufafanua deal hilo na kwamba linahusiana na mtandao wa Tidal na sio kusainishwa kwenye label ya Roc Nation.

“The Internet and blogs took his words out of context. When Wayne was speaking about the partnership with Jay Z, he was speaking about his new deal as an artist owner with Tidal.”

Huo unaweza kuwa mwanzo wa uhusiano mzuri wa wawili hao hasa ukizingatia kuwa Lil Wayne aliishtaki label yake Cash Money kwa dola milioni 51.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents