Burudani

Lil Wayne atamba kuachia ‘Tha Carter V’ muda ule ule

Rappper Lil Wyne ametamba kuachia albamu yake ya ‘Tha Carter V’ kama alivyow kusema.

Weezy amefunguka hayo kupitia mahijiano yake aliyofanya hivi karibuni na Tunechi, ambapo rapper huyo amesema kuwa ataachia albamu hiyo kama alvyoahidi mwanzoni tarehe ile ile.

“Of course you’re going to see Tha Carter V. I just don’t want to put it out the wrong way. Honestly. I can do what I want at any time. The fans deserve it to be right and that’s how it’s gonna be. I’m make sure it’s right. I can drop whatever I want to drop. That’s why I keep dropping whatever I want to drop. But I’m not gonna give them Carter V,” amesema Lil Wayne.

Albamu hiyo ambayo ilitakiwa kutoka tangu mwaka jana imekuwa katika mvutano mkubwa kati ya Weezy na bosiwake wa zamani wa lebo ya Cash Money, Birdman ambapo aliwahi kumshtaki kwa tuhuma za kumdai kiasi cha dola milioni 51 ambapo yalikuwa ni madai ya kikazi.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents