Burudani

Lil Wayne atishia kuwashtaki wanaouza mkanda wake wa ngono

Kuna mkanda wa ngono wa Lil Wayne unaouzwa mtaani na Lil Wayne ametishia kumpeleka mahakamani yoyote atakayeusambaza.

cq5dam.web.1280.1280

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, mtu anayedaiwa kuwa na mkanda huo unaomuonesha Weezy akila uroda na wawili anataka kuuza kwa makampuni ya porn.

Wawakilishi wa Wayne wameuambia mtandao wa TMZ kuwa mkanda huo kweli upo lakini ulichukuliwa bila Weezy kuwa na taarifa na watachukua hatua za kisheria.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents