Muziki

Lil Wayne aurudia mstari wa wimbo wa Tupac ‘Troublesome’ unaotukana tusi F** kwa Kiswahili

Hayati 2 Pac alikuwa anakijua Kiswahili na ndio maana kwenye wimbo wake Troublesome alisikika akisema, ‘Westside was the war cry bustin off freely Screamin, “F** – ALL Y’ALL NIGGAZ” in Swahili’.

img-lil-wayne-cover_17135846584

Lil Wayne anakijua pia Kiswahili na ndio maana kwenye wimbo wake F** With Me You Know I Got It aliomshirikisha T.I. (ni wimbo original wa Jay Z kwenye albam yake MCHG) uliopo kwenye mixtape yake mpya, Dedication 5 ameutumia pia mstari huo.

Ingependeza zaidi lakini kama neno Swahili lingetumika kwa neno la maana sababu tusi hilo ukilisema Kiswahili ni kali zaidi kutamka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents