Muziki
Lil Wayne kwa mara nyingine tena, sikiliza ngoma yake mpya hapa
Lil Wayne anaendelea kuachia ngoma zake kwa mfululizo. Rapper huyo ameachia wimbo wake mwingine uitwao ‘Bloody Mary’ ambao amemshirikisha Juelz Santana.