Burudani

Lil Wayne: ‘Tha Carter V’ ndio itakuwa album yangu ya mwisho

Rapper na boss wa YMCMB Lil Wayne amesema album yake ‘Tha Carter V’ anayotarajia kuitoa mwaka huu ndio itakuwa ya mwisho kwake, kwa maana kwamba hatatoa tena solo album.

Lil+Wayne

Akizungumza na MTV Weezy amesema pamoja na kuacha kutoa album lakini ataendelea kushirikiana na wana familia ya YMCMB katika album zao.

“Whenever I have to pitch in for a Young Money album, a ‘Like Father, Like Son’ album and something like that and maybe something out the blue.”

Lakini Wayne ameongeza kuwa ili tuweze kumsikia akifanya album nyingine tena itahitajika kama milioni 25 hadi 35 kumshawishi aweze kubadili msimamo wake wa sasa.

‘Tha Carter V’ inatarajiwa kutoka May mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents