Mitindo

Lilian atinga fainali FOA

Image
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la kumsaka kisura wa Afrika, Lilian Mduda, amefanikiwa kuingia kumi bora na atachuana na vimwana wengine kutoka Afrika kwenye fainali hizo zitakazofanyika jijini Lagos Februari 6. Akiongea na waandishi wa habari leo kwenye hoteli ya Southern Sun, Lilian amesema amejiandaa vizuri na anaamini atafanya vyema na kuiletea nchi heshima na, ofkozi kurudi nyumbani na kitita cha Dola 50 000 na mkataba mnono na kampuni ya uanamitindo ya O Models

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents