Mahojiano

Lilommy: “Diamond anawekeza sana anajenga Wasafi Tower, Ndio itakuwa ya kwanza Afrika mashariki” – Video

Mtangazaji wa Wasafi Fm Lilommy amefunguka mambo mengi sana kuhusu maisha yake ya kazi ya Utangazaji na hasa katika vituo viwili vya habari Wasafi akiwa anafayia kazi sasa hivi na Times Fm ambayo alikuwa akifanya mwanzo kabla ya kuhama.

Lilommy pia aliweza kumzungumzia Boss wake Diamond Platnumz na kumsifu kuwa anawekeza sana na sasa hivi anajenga Wasafi Tower ambayo itakuwa ya kwanza Afrika mashariki.

Msikilize Lilommy:-

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents