Lilommy: Siendeshwi kwenye kazi Diamond ni CEO lakini anasubiri kwenye interview, Alikiba na Harmonize sijawatafuta wakikataa sawa (+Video)

Katika mahojiano ambayo Bongo5 tulifanya na mtangazaji wa kituo cha habari cha Wasafi Media Omary Rajabu Tambwe alimaarufu @lilommy ambapo aliongelea suala la yeye kuchaguliwa kuwani tuzo ya AEAUSA kama mtangazaji bora Afrika tulipiga stori zingine pia.

Tambwe alizungumzia suala la @diamondplatnumz kufanyiwa mahojiano na Grammy lakini pia yeye akiwa kama Mtangazaji kuzikosa baadhi ya Interview za wasanii kama @officialalikiba na @harmonize_tz baada ya kujiunga na Wasafi media.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW