Burudani

Linah afunika New Maisha Club

1lINA

 

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Linah Sanga, juzi katika usiku wa Valentine Day, ametoa rasmi albam yake kwa mashabiki wake wote katika tamasha alilolifanya New Maisha Club.


Akiongea na Bongo5 Mlimani City, alisema kwamba ulikuwa ni uzinduzi wa albamu zao, lakini zilichelewa kidogo kuingia sokoni kutokana na sababu za hapa na pale, lakini usiku huo wa juzi ndiyo albamu yake na mwimbaji mwenzie Barnaba aliyezindua yake Mwanza, zinaingia sokoni rasmi.

 

Albamu hiyo inayokwenda kwa jina la Atatamani,ina nyimbo kumi zilizoshiba, na ana uhakika itafanya vizuri katika soko la muziki kwani ni alivyovipangilia, kulingana na soko husika na mahitaji ya mashabiki wake.

2lINA

3lina
Linah akiwa stejini akiimba baadhi ya nyimbo zake

4Dito

Mwanamuziki Ditto, alikuwepo kushoo love kwa msanii mwenzake toka Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), huku na yeye anasubiri siku mbili tatu kutinga sokoni na yake.

5Mataluma

Matalum ndani ya nyumba

6_Beka

Kijana anayekuja kwa kasi toka THT, Beka, akikonga vizuri nyoyo za mashabiki wake,

7_sMJUI

Designer akiperform ‘Warembo wananipenda miye….’

8_MASHABIKI

Warembo wakishoo love na Bongo5.

10_waimbaji_wa_stejini

Back up haoooo

11_MASHABIKI

Wapendanao nao waliingia kati kuonyesha manjonjo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents