Burudani

Linah kuing’arisha ngoma mpya ya Dezert Eagle ‘Utaipenda Je?’

Msanii Desert Eagle mwenye asili ya Kongo, aliyekulia na kusomea Tanzania na kwenda kuishi nchini Australia anatarajia kuachia wimbo aliomshirikisha Linah.

Lina na Dezert
Desert Eagle na Linah wakiwa kwenye studio ya Mazuu Records

Ameiambia Bongo5 kuwa ameshakamilisha ngoma kadhaa katika studio tofauti ukiwemo ‘Utaipendaje’ aliomshirikisha Linah na kurekodi kwenye studio za Mazuu Records. Awali msanii huyo alimshirikisha Diamond Platnumz.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents