Burudani

Linah: Sijawahi kupata mapenzi ya kweli toka nimeyajua (Audio)

Linah amekiri kuwa tangu ayajue mapenzi, hajawahi kumpata mwanaume aliyempa mapenzi ya kweli.

10954745_843876532341603_285605938_n

Akiongea kwenye kipindi cha Funiko Base cha Radio 5, Linah ambaye hivi karibuni aliachia ngoma mpya ‘Hello’ aliyoshirikiana na Christian Bella amedai kuwa ndio maana amekuwa akiimba ujumbe kama huo kwenye nyimbo zake.

“Lakini sasa hivi nimepata mapenzi ya kweli,” amesema.

“Sijawahi kukaa kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka mitatu lakini sasa nimekaa kwenye mahusiano kwa miaka mitano,” ameongeza.

Msikilize zaidi hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents