BurudaniVideos

Linex aja video ya wimbo wake mpya

Linex_face
Mwanamuziki anayekubalika kwa kuimba katika hisia kali, Linex jana alikuwa maeneo ya Posta mpya kwaajili kuendelea katika kukamilisha video ya wimbo wake mpya ambao unatamba sasa.


Linex wimbo huo alikuwa akifanya video na kampuni ya Adam Juma  wa Visual rab Production.  uchukuaji wa video hiyo , mjini ilikuwa kivutio kikubwa kwa jinsi msanii huyo alivyovaa a jinsi aivyokuwa akiimba kwa hisia kali kutokana na wimbo wake huo

Linex_adam

linex_video

linex_washikaji

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents