Michezo

Lionel Messi afanya mazoezi ya hatari (+Video)

Lionel Messi afanya mazoezi ya hatari (+Video)

Wakati baadhi ya wachezaji wa Barcelona wakiwa tayari wamerejea na kujiunga na klabu hiyo nyota wao Lionel Messi ameonekana akifanya mazoezi ya hatari na mbwa wake wakati akiwa nyumbani kwake.

Kufuatia ushiriki wake kwenye michuano ya kombe la dunia nyota huyo wa Argentina, Messi amepatiwa muda wa kupumzika kabla ya kujiunga tena na Barcelona hivyo kutumia muda huo kufanya mazoezi akiwa peke yake.

Messi was filmed by his wife dribbling past his Dogue de Bordeaux in the sunny conditions

Kutokana na video aliyoposti mke wake, Antonella Roccuzzo kupitia mtandao wake wa Instagram inamuonyesha Messi akifanya mazoezi mepesi na mbwa.

Just like Messi's opponents on the football field, Senor Hulk couldn't tackle his owner

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents