Moto Hauzimwi

Lionel Messi asherehekea ushindi wa Barcelona akiwa na wanae

Staa wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi amethibitisha kuwa ni mwanaume anayejali familia yake baada ya kuposti picha akiwa nyumbani na watoto wake wawili wakiume.

Messi ambaye ni ni raia wa Argentina ameonekana akifurahi na familia yake nje ya uwanja akiwa na Thiago mwenye umri wa miaka mitano na Mateo mwenye miaka miwili.

Messi amesherehekea ushindi wake kwa kuichachafya Valencia katika michuano ya Copa del Rey hatua ya nusu fainali.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW