Burudani

Lisiishie kutia mimba tuu – Afande Sele

Ikiwa leo ni siku ya akina Baba Duniani Mfalme wa Rhymes nchini Tanzania, Afande Sele amewaasa akina Baba wote ulimwenguni kukumbuka majukumu yao kwa watoto na sio kuishia kuwapa mimba tuu akina mama bila kutunza watoto.

Afande Sele akiwa na Watoto wake wote wawili

Afande Sele ambae ni mtoto Baba wa watoto wawili amesema jukumu la Baba lisiishie kutia mimba tuu bali lije mpaka kwenye matunzo ya mtoto.

Leo Ni Siku Yetu Akina Baba…Jukumu Letu Lisiishie Kutia Mimba tu Nakuitwa Baba Mwenye Nyumba…Tumeagizwa Upendo…Tena Kwa Vitendo…“ameandika Afande Sele kwenye ukurasa wake wa Instagram.

By Godfrey Mgallah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents