#LIVE​: Haji Manara, Antonio Nugaz wakutana uso kwa uso (+Video)

Kamati ya hamasa ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ikiongozwa na Mwenyekiti wake wa kamati ndogo Haji Manara kwa kushirikiana na Antonio Nugazi wamezungumza na waandishi wa habari hii leo katika kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya DRC Congo hapo kesho siku ya Jumanne ambapo pia utatumika kumua Aggrey Morris

Video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW