Habari
LIVE: Arusha mkitaka maendeleo na mabadiliko nileteeni Gambo – Dkt Magufuli mgombea Urais (+Video)
“Wana Arusha kama mkitaka maendeleo na mabadiliko ya kweli nileteeni Gambo, Arusha kupata maji ni shida, nitashangaa sana kama malipo yenu kwa mtu aliyewatetea itakuwa kumnyima kura, Gambo nimemsumbua kwa mambo mengi”- Dkt Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM
Video bofya HAPA