Awards

LIVE: Fuatilia matangazo ya moja kwa moja ya ugawaji wa tuzo za FIFA, Messi, Ronaldo na Van Dijk kutoana jasho

Leo FIFA wanagawa tuzo mbalimbali za mpira wa miguu kwa wanaume na wanawake, Ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa dunia 2018/19. Ambapo Messi atachuana na Ronaldo na beki wa Liverpool, Virgil Van Dijk kuwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia.
https://youtu.be/_siWhTyBrtU

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents