Michezo

Liverpool dhidi ya PSG, Barcelona na PSV  huku Inter Vs Spurs UEFA Champions league leo

Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya inatarajia kuanza kutimua vumbi rasmi hii leo siku ya Jumanne ambapo DStv kupitia chaneli zake za Supersport zikitarajia kukuletea mubashara michezo itakayo pigwa kwenye viwanja mbalimbali.

Miamba ya Hispania klabu ya Barcelona ikishuka dimbani kuwakabili PSV  mchezo utakao pigwa majira ya saa 2 usiku huku ikiwa mubashara kupitia Supersport 5 ndani ya DStv. Wakati Inter Milan ikiwakabili Tottenham Hotspur kupitia Supersport 6 katika kifurushi cha Compact Plus.

Barca wataingia uwanjani huku wakiwa na rekodi mbaya zaidi dhidi ya mpinzani wake PSV, baada ya kushinda mechi 2 na kupata sare moja tu huku wakikubali vipigo mara tatu.

Kwenye uwanja wa Jan Breydel miamba ya Bundesliga klabu ya Borussia Dortmund watawakabili Club Brugge mtanange utakao kuwa mubashara kupitia Supersport 8 majira ya saa 12 jioni kwa kuwa na kifurushi Bomba kwa sh.19, 000 pekee.

Majogoo wa Anfield Liverpool watakuwa na kibarua kizito cha kuwakabili nyota wa Paris Saint-Germain, Neymar na Kylian Mbappe mtanange utakao pigwa majira ya saa 4 usiku kupitia Supersport 5 kifurushi Compact Plus.

Ni wakati wako wewe mteja wa DStv kulipia kifurushi chako mapema kabla ya kukatika ili ujipatie ofa ya kuongezewa chaneli za Supersport za kifurushi cha juu kwa kipindi cha siku 7 buree na utaweza kufurahia msimu mpya wa michuano ya klabu bingwa barani Ulaya.

Kumbuka ukiwa na Application ya DStv Now utawezakuangaliamechizotekupitiasimuyakoyamkononi, Tablets, Laptop na hata Desktop ukiwa mahali popote wakati wowote bila gharama ya ziada.

DStv sasa inapatikana kwa sh.79, 000 tu unapewa na kifurushi cha mwezi mmoja Bomba buree, Kujiunga piga 0659 070707!

DStv Moto Hauzimi!

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents