Michezo

Liverpool yamsajili nyota wa Brazil baada ya kuizidi kete Man United

Club ya Liverpool imemsajili rasmi mshambuliaji wa Brazil, Roberto Firmino,23 kutoka klabu ya Hoffenheim kwa dau la paundi milioni 29. Mchezaji huyo awali alikuwa akiwaniwa na Manchester United.

29E6A11300000578-3137122-Roberto_Firmino_has_completed_his_transfer_to_Liverpool_for_28m_-a-1_1435127351113

Roberto Firmino anakuwa mchezaji wa pili aghali kusajiliwa katika historia ya Liverpool kwa ada ya paundi milioni 29 na amekubali kusaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya paundi 100,000 kwa wiki. Kwa sasa anasubiri vipimo vya afya Anfield mara tu baada ya Copa America kumalizika.

29D8E97E00000578-3137122-Firmino_was_being_watched_by_a_number_of_clubs_but_Liverpool_hav-a-5_1435127351252

29D8F79800000578-3137122-The_Brazilian_was_wanted_by_Liverpool_and_a_summer_move_to_Anfie-a-9_1435127351329

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents