Burudani ya Michezo Live

Loon Bongo – Bongo5 Exclusive!!

Loon na IbraSi wote wanaofahamu kuwa msanii Loon kutoka Nchini Marekani alipokuwa nchini Tanzania alifanya mkono kwa kushirikiana na msanii Ibra Da Hustle wa kundi la Nako 2 Nako na Prodyuza Ambros wa Mandugu Digital.

Malengo ya safari ya msanii huyu kuja nchini Tanzania ilikuwa ni kutengeneza video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Distracted’ ambapo alishirikiana na baadhi ya vimwana wa jijini bongo akiwemo mwanadada Ray C, Tk, Nancy Sumary na wengineo.

Wimbo ambao ulirekodiwa katika studio za Agies unajulikana kwa jina la ‘loon Bongo’ na mpaka sasa uanfanya vizuri katika vituo mbali mbali vya redio pamoja na Klabu mbali mbali za Bongo,

Wimbo huo ambao umekuwa na mahadhi ya kiafrika zaidi, mnyamwezi loon anasikika akikamua kwenye vesi ya kwanza wakati Mnako Ibra anasikiaka akichana katika vesi ya pili na mwisho anafunga kijana Greedy ambaye aliambatana na loon katika msafara wake.
CLICK PLAY TO LISTEN – BOFYA ALAMA YA PLAY KUSIKILIZA
LOON FEATURING IBRA DA HUSTLER AND GREEDY

{play}loon_bongo.mp3{/play}

Source: Bongo5 Team

{mos_sb_discuss:6}

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW