Michezo

Louis van Gaal azitaja sababu za kutaka kumtema Victor Valdes

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal anaonekana kumwonyesha mlango wa kutokea Old Trafford mlinda mlango, Victor Valade baada ya kuonekana hana nidhamu.

lvg2
Louis van Gaal akiongea na waandishi wa habari nchini Marekani

Kocha huyo alibainisha kuwa Valdes alikataa kuichezea timu ya pili msimu uliopita.

lvg3

Anadai kuwa Valdes ameshindwa kuendana na falsafa zake ndani ya kipindi kifupi klabuni hapo.

lvg5

Valdes alijiunga Manchester United kwa uhamisho huru Januari baada ya kuondoka Barcelona 2014. Na sasa United wako tayari kumuuza Mhispania huyo aliyeachwa katika kikosi hicho kilichopo ziarani nchini Marekani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents