Burudani ya Michezo Live

Luc Eymael amepiga simu, Msemaji wao ametuponda, eti ubingwa tumenunua – Haji Manara (+Video)

Afisa Habari wa Machampion wa Tanzania Simba Sports Club, Haji Manara ameshangaa wanaosema Ubingwa wao ni wakupewa, ili hali wamefanya kazi kubwa kuhakikisha wanachomoza na matokeo mazuri toka mechi za kwanza mpaka wanafikisha jumla ya alama 79 na kutawazwa kuwa Mabingwa licha ya kuwa na michezo sita mkononi.

Manara amempongeza Kocha Luc Eymael kwa kuwa mtu wa kwanza kumpigia simu kocha wa Simba SC na kumpongeza kutwaa Ubingwa huo.

”Wewe huna hata mfungaji mwenye goli tisa, mimi sitaki kiki.”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW