Soka saa 24!

Ludacris atifua msimu wa Dhahabu

serengeti_luda_cris2
KATIKA msimu wa Serengeti Fiesta2011  uliofanyika katika viwanja vya Leader’s  Club, ulikuwa wa aina yake baada ya mwanamuziki toka Marekani Ludacris  kutua kwenye viwanja hivyo na kushusha bonge la burudani.

 

 

Mwanamuziki huyo ambaye alisindikizwa na wasanii wa nyumbani wapatao 45, waliweza kufanya bonge la shoo la kuhitimisha msimu huo wa Dhahabu kwa kanda ya Dar es salaam . Pia kuna wasanii wamejaribu kufanya vizuri, zaidi kuliko walivyotegemewa, akiwepo Daimondo, Roma, Mwana Fa, na wengine wengi.

Clouse Fm pia walitoa tuzo kwa wasanii ambao walikuwepo kwenye Fiesta mbaslimbali na kuonyesha mchango wao, baadhi ya wasanii waliopokea tuzo hizo ni Prof J, Juma Nature, Mr Nice, Mandojo na Domo kaya, Lady Jay Dee, Dully Syskes,

serengeti_ludacris
serengeti_luda_mapambo

Maandalizi yakiendelea kwaajili ya kupanda Ludacris baada ya ya kumaliza kwa wasanii wa ndani.
Serengeti_mabaga
Juma Kasim Nature akiimba na kundi la Wachuja nafaka, akiwemo Dolo, Kr, na mmoja wa waimbaji wa Mabaga Fresh
Serengeti_Mc
Adam Mchomvu, Fetty na B Dazen Ma Mc katikata tamasha
Serengeti_mzungu
Mambo yalikuwa full bata kwenda mbele huku bia yako ya Serengeti pembeni
Serengeti_Roma
Roma naye alikuwepo kukamilisha show ya Fiesta2011
Serengeti_wahudum
Wanadada wakitimiza haja yako ya kukuletea kinywaji popote ulipo wakati wa tamasha
Serengeti_roma_prof_j
Dady!!!! Pindi alipopata Prof J ndilo jina la kwanza kuitwa.

{hwdvideoshare}id=1543|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1542|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1547|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1546|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW