Mahojiano

Lukamba aeleza alivyokutana na Diamond ” Harmonize alikuwa birthday moja na Diamond sijui kwanini hajafanya” – Video

Lukamba aeleza alivyokutana na Diamond " Harmonize alikuwa birthday moja na Diamond sijui kwanini hajafanya" - Video

Mpiga picha wa C.E.O wa WCB Wasafi Media Diamond Platnumz ambaye pia ni Director Lukamba ameeleza kiundani zaidi kuhusu maisha yake lakini pia jinsi alivyokutana na Boss wake Diamond Platnumz. Lukamba ameeleza pia historia yake kabla ya kufanya kazi na Diamond alivyopambana na Lavalava na baada ya hapo walikuana na ndugu yake Diamond Ricardo Momo na kuwaunganishia na Diamond.

Lukamba aliongelea pia usumbufu aliokuwa anaupata kutoka kwa Zari na kudai kwamba kati ya wanawake wote wa Diamond Zari ndio alikuwa msumbufu.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents