Mahojiano

Lukamba “Kati ya wanawake wote wa Diamond, Zari alikuwa msumbufu sana ” – Video

Lukamba "Kati ya wanawake wote wa Diamond, Zari alikuwa msumbufu sana " - Video

Mpiga picha wa C.E.O wa WCB Wasafi Media Diamond Platnumz ambaye pia ni Director Lukamba ameeleza na kusema kwamba kati ya wanawake wote wa Diamond Platnumz ambao amefanikiwa kufanya nao kazi Zari ndio alikuwa msumbufu sana.

Lukamba anaelekeza hayo akipiga stori na Bongo5, haya ndio maneno ya Lukamba:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents