AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

M 2 the P: ‘Watanzania waniombee tu’ azungumza na Clouds FM wodini alikolazwa (audio)

Hatimaye mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo aliyepo jijini Johannesburg, Afrika Kusini amefanikiwa kuongea na M TO THE P ambaye amelazwa kwenye hospitali ya St. Helen jijini humo. Kulikuwepo na tetesi kuwa msanii huyo aliyekuwa pamoja na Mangwea naye alifariki.

m

Akiongea kwa shida, M to the P amewaomba watanzania wamuombee. Amesema bado anasikia maumivu ya kichwa na sehemu za kifua. Msikilize hapa.

Wakati huo huo kamati ya mazishi ya Albert Mangwea imesema mwili wa marehemu utawasili nchini siku ya Jumapili badala ya kesho kama ilivyokuwa imetangazwa na shughuli za kuuaga zitafanyika Jumatatu kabla ya kupelekwa Morogoro kwa mazishi.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW