Burudani

M-Net kuifunga Maisha Magic, kurudisha nguvu kwenye Maisha Magic Swahili

Kampuni ya M-Net imeamua kuchukua uamuzi mgumu kwa kutangaza kuwa itaifunga channel yake iliyoanzishwa mwaka jana, Maisha Magic.

Maisha-Magic

Sababu za kuifunga, ni kutokana na kushindwa kufanya vizuri kama ilivyokuwa ikitarajiwa. Channel ya Maisha Magic itafungwa mwishoni mwa March 2015.

“Bahati mbaya, Maisha Magic haijafanikiwa na kukua kama matarajio yetu yalivyokuwa. Kwa jumla, channel ilishindwa kufikia mlingano wa utazamwaji tuliouihitaji kuendeleza biashara na kuunga mkono uwekezaji unaondelea,” amesema Patricia van Rooyen, CEO wa M-Net Sub-Saharan Africa.

“Matokeo yake, M-Net ilifanya uamuzi uliofikiriwa kwa umakini na mgumu wa kusitisha kazi za channel hii.”

Soma zaidi hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents