Maajabu ya jiji la Dubai na Nancy Sumari (Video)

Bongo5 imezungumza na Miss Tanzania na Miss World Afrika mwaka 2005, Nancy Sumari ambaye alipata fursa ya kutembelea Dubai na kujionea maajabu yaliyofanywa na nchi hiyo na kuvunja rekodi ya dunia.

1. Burj Khalifa
Hili ni jengo linalipatikana ndani ya nchi ya dubai, limevunja rekodi ya kuwa kitu chenye urefu zaidi kuliko chochote duniani kilichojengwa na binadamu(the tallest man made structure in the world), jengo hili lina urefu wa mita zinazofikia 830. Jengo hili.lina ghorofa zinazofikia 163 hiyo ni bila huhesabu parking za magari na floor nyingine ambazo tunaziita maintanance floor. Jengo lililokuwa refu zaidi kabla ya hili lilikua ni lile la world trade centre ambalo lilikua na ghorofa 110, kama mnakumbuka hili jengo halipo tena kwani lililipuliwa na magaidi tarehe 11/09/2001.

Jengo hili ni refu sana kiasi kwa sehemu yake ya juu kabisa kwa kipindi fulani hufunikwa na mawingu. jengo hili liliigharimu serikali kiasi cha dola billioni 1.5. ni jengo lenye mjumuiko wa nyumba za kuishi, hoteli, supermarkets, shops.na ofisi

2. The Palm Islands
Hivi ni visiwa vya kutengenezwa vilivyopo dubai, visiwa hivi vimejengwa na kutengeneza umbo la mti wa mnazi, kisiwa hiki kimejengwa kwenye kina kirefu cha maji kiliunganishwa na man made peninsula yenye urefu wa kilometa nne. Kisiwa hiki kimejengwa kwa kutumia mawe makubwa yaliyotupiwa majini pamoja.na kiasi kikubwa sana cha mchanga, baada ya kukamilisha ujenzi wa kisiwa hicho juu yake zilijengwa nyumba za makazi za kuishi(residential houses) ambazo ziliuzwa kwa watu kwa gharama kubwa sana, na inasemekeana David Bekham ni mmoja wa wamiliki wa moja ya nyumba hizo. pia ndani ya kisiwa hicho kuna mahoteli makubwa, maghorofa pamoja na sehemu nyingi za starehe, na ni sehem inayowavutia sana watalii.

3.The Dubai Mall
Hii ni.muunganiko wa majengo yanayounda sehemu moja ya biashara kama vile pale mlimani city dar es salaam, hii ndiyo sehemu ya kibiashara na manunuzi kubwa kuliko zote duniani( the dubai mall is the world largest shopping mall), dubai shoping mall ina ukubwa unaolingana na viwanja 50 vya mpira wa Mig

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW