Burudani

Maajabu ya namba 14 katika albamu ya Chege

Msanii wa Bongo Flava, Chege ameachia rasmi albamu yake  ya ‘Run Town’  ambayo inangoma 14 huku akiwashirikisha wasanii 14 katika kolabo tofauti tofauti.

Albam hiyo inayopatikana kupitia  YouTube, iTunes, spotify, MZIKI.com ,Wasafi.com  imewakutanisha wasanii kama Chid Benz, Bill Nass, Rich Mavoko, Dija, Iyo, Mh.Temba, Malaika, Gift, Nandy, Ray C, Sanapei, Runtown, Uhuru na Diamond Platnumz.

‘Run Town’ imefanyiwa kolabo ngoma 13 huku ngoma moja tu akiwa amefanya mwenyewe na tayari baadhi ya ngoma hizo zinazopatikana katika albamu hiyo zina video.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents