AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Taarifa ya mabadiliko kuhusu mazishi ya Albert Mangwea

Habari kutoka kwa wanakamati wa mipango ya mazishi ya marehem Albert Mangwea zinasema kuwa mwili wa marehem Ngwea utafika Dar siku ya Jumapili saa nane mchana na sio Jumamosi kama ilivyoarifiwa hapo awali na utaagwa siku ya Jumatatu saa mbili mpaka saa sita machana ambapo safari itaanza kuelekea Morogoro kwa ajili ya mazishi. Kamati inaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza.

Mangwair

Related Articles

Check Also

Close
Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW