Tupo Nawe

Mabingwa mara tano wa UEFA Europa League, Sevilla FC kutua Tanzania kuikabili moja kati ya timu kongwe nchini

Kampuni ya kubashiri matokeo ya Sporpesa kwa kushirikiana na Shirikisho la soka Tanzania TFF pamoja na Serikali, hii leo wametangaza rasmi ujio wa timu kubwa ya Hispania inayoshiriki La Liga, Sevila FC
na kucheza mechi ya kirafiki kati ya Simba au Yanga. .

Mabingwa hao mara tano wa UEFA Europa League, Sevilla FC wanatajariwa kutua nchini Tanzania kwa ziara ya kihistoria ya kimichezo inayodhaminiwa na kampuni ya SportPesa kwa kushirikiana na Uongozi wa Ligi Kuu nchini Hispania, La Liga inayokwenda kwa jina la ‘LaLiga World’

Sevilla ambayo ni klabu ya kwanza kutoka nchini Hispania kuzuru nchini Tanzania, itacheza mechi ya kirafiki na moja kati ya vilabu vya Simba au Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam siku ya Mei 23.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW