Michezo

Mabingwa wapya VPL, Simba SC watikisa Bunge Dodoma

By  | 

Kikosi cha Simba kikiwa Bungeni Dodoma kufuatia mualiko maalumu kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndungai.

Mara baada ya kumaliza ziara yao huko Jijini Dodoma mabingwa wapya wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC watarejea Da er salaam kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Kagera Sugar.

Ikumbukwe kuwa katika mechi ya mzunguko wa kwanza iliyochezwa Januari 22 kwenye dimba la Kaitaba mjini Kagera, Simba waliibuka na ushidi wa mabao 2-0.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments