Machangudoa wadakwa
maeneo ya Buguluni Chama maarufu kama Madenge wilaya ya Ilala, Juzi saa mbili na nusu usiku huko polisi wamefanya msako maeneo hayo na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20, kwa makosa la kuuza miili yao maeneo hayo.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa kipolisi Ilala Faustina Shilogile, amewataja kuwa watuhumiwa hao ni Jamila Swed (20), Eva Lucas (18), Rehema Ibrahim (22), Yasinta Nyeza (24), Rehema Issa h(18), Selina Hamisi (27), Tatu Urembo(15), Zaina Hassan(20) , Mariam (22), Joyce Joseph(25), Happy John(18), Saidai Mohamedi(19), Kharid Omary (25), Sauda Juma (18), Hadija Hamisi(20), Fatuam Abdalah(35), Irene Nole (19), Lulu Grayson(18), Ward Rashid(23), na Swaum Hassan (20).