Soka saa 24!

Mad Ice kuimba na washiriki wa BSS wiki hii

bss6_face

Wasanii wa shindano la kumtafuta mkali wa kuimba muziki linalojulikana kama Bongo Star Search Second Chance 2011, ambalo limeingia katika hatua ya sita bora jana lilitembelewa na mwanamuziki wa kitanzania Mad Ice anayefanya kazi zake nje ya nchi

 

 

Wasanii hao walitembelewa wakiwa katika kurekodi katika kipindi cha wiki hii,……..

bss__6_wasanii

 

bss_6_roger_mkewe

Mkali wa Bss Roger akiwa na mkewe….

bss_6_mwalim

Mwalimu wa muziki kwa wasnii wa Bss.

bss_6_betrice

Hapa Betrice William akiwa na Bab Junior wa Sharobaro Record

bss_6_Bab_junior

Sharobaro

bss_6_allan

Allan Mapigo

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW