Burudani
Madee aachia video ya wimbo wake ‘Wacha wongee’, Awazungumzia wanaosema anatukana (Video)
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection nchini Tanzania, Madee Ali ameachia video yake mpya ya wimbo ”Waache waongee”.