Burudani

Madee agoma kutimiza ahadi yake ya kuchoma moto gari Arsenal ikifungwa na Chelsea

Madee amejikuta katika wakati mgumu kutekeleza kile alichoahidi baada ya timu yake ya Arsenal jana kupokea kichapo cha bao moja kw amtungi na Chelsea.

Madee2

Muimbaji huyo ambaye ni shabiki wa Arsenal aliwaahidi mashabiki wake kuwa endapo timu hiyo itafunga, atachoma gari lake moto.

Hata hivyo baada ya Jumapili timu yake kupokea kichapo hicho alishindwa kutimiza alichoahidi. Kupitia Twitter aliandika:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents