Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Madereva bodaboda waelezea namna wanavyoneemeka na #RAFIKIBONUS kutoka SportPesa

Promosheni ya Rafiki Bonus kutoka SportPesa imeendelea kushika kasi ambapo watu mbali mbali wameendelea kupata pesa kutokana na kuwaalika rafiki zao kujisajili na kucheza .

Rafiki Bonus ni promosheni ambayo inakuwezesha wewe mteja wa SportPesa kujishindia Sh 2000/= kwa kila rafiki yako unayemualika kujisajili na kucheza  na SportPesa.  Hivyo ukifanikiwa kualika marafiki  10 kwa siku inamaana utakuwa unapata Sh 20,000/= ambayo kwa mwezi itakuwa ni Sh 600,000/=Bonge la dili.

Wapenzi mbali mbali wa michezo ya kibashiri nchini wameendelea kuchangamkia fursa hiyo na kujishindia mkwanja kama ambavyo wenyewe wanatuthibitishia hapa;

Mbadala wa kuingiza kipato

Athuman Chande ni dereva boda Mwenge ambaye hakuona tabu kutushirikisha juu ya kile ambacho amekipata hadi kufikia sasa.

“Kwakweli tangu nimejiunga na SportPesa hii Rafiki Bonus imenisaidia sana kuongeza kipato kwa maana siku nyingine unakuta hakuna wateja kabisa kwahiyo natumia Rafiki Bonus kama mbadala wa kuingiza kipato.

“Nikimbeba mteja kutoka mwenge hadi ubungo ni shilingi 2000 na kumuunganisha mtu na Rafiki Bonus ni kiasi hicho hicho, yaani ninavyokwambia mpaka sasa nimeshawaunga washkaji kibao hadi baadhi ya wateja ninaowabeba.

Sijatumia mafuta

Naye Paulo John dereva boda boda KImara Stop Over anasema kuwa wala hatumii mafuta kupata Sh 2000/= kupitia Rafiki Bonus kama ambavyo anatumia mafuta kubeba wateja kwenye boda boda.

“Mpaka sasa nimeshawaunganisha washikaji watano hapa kijiweni bila kutumia mafuta yoyote, na kila siku zinavyozidi kwenda napata watu wapya, ni rahisi yaani wakishajisajili mkwanja unaingia kwenye simu yangu moja kwa moja,” alisema.

Wananiita Rafiki

James Msuya, dereva boda boda wa Ubungo maziwa anasema kuwa mwanzoni alidhani masihara lakini aliamini pale alipojaribu tu.

“Mara ya kwanza kujiunga na hii huduma nilidhani ni masihara tu na pesa haitaingia kwenye akaunti yangu ya SportPesa, mawakala wao wakanieleza kwamba inabidi nicheze na SportPesa kwanza kabla ya kumsajili mtu mwingine.

Baada ya muda nikawafata waenzangu na kuwaambia lakini mara ya kwanza hawakuamini kama mimi hadi nilipowaambia watume neno RAFIKI ikifuatiwa na alama ya reli kisha namba yangu kisha waweke bet yao wajionee wenyewe, na kweli bwana walivyoweka bet yao ya buku mbili tu mzigo ukaingia basi tangu hapo wote wananiita RAFIKI.”

Hii ni kama biashara

Naye Bahati Juma ambaye ni mkazi wa Goba hakusita kuelezea hisia zake huku akidai kuwa RAFIKI BONUS ni kama biashara kwake kama ilivyo biashara ya boda boda anayofanya kila siku.

“Yaani sijui nianzie wapi maana hii ni kama biashara kwangu, siku nyingine baada ya kupiga tripu za wateja mimi napiga tripu za SportPesa kwa ajili ya rafiki bonasi peke yake, nikiwaunga watu wangu kumi nakuwa nimejiingizia 20,000/= Mimi nawashauri watu wengine wajiunge na huduma hii kwani ni dili la maana,” alitoa ufafanuzi.

JINSI YA KUJIUNGA

Hayo yalikuwa ni maoni ya wadau ambao tayari wameshauonja utamu wa Rafiki Bonus. Kama unataka kujiunga na promosheni hii basi fuata hatua hizi tatu rahisi.

Kwanza kabisa unatakiwa kumwambia rafiki yako ambaye hajajisajili na SportPesa kuingia kwenye uwanja wa ujumbe mfupi na kutuma neno RAFIKIlikifuatiwa na alama ya reli kisha namba yako ya simu kwenda 15888 Mfano; RAFIKI#07XXXXXXXX

Lakini hiyo haitoshi kwani baada ya hapo rafiki yako atatakiwa kuwepa pesa kwenye akaunti yake ya SportPesa kwa namba ya biashara 150888 kupitia M-Pesa, Airtel Money au Tigo Pesa

Baada ya hapo sasa atatakiwa kucheza kwa masoko ya Single bet, Multibet au Jackpot ambapo kucheza kwa Single bet ni lazima aweke ubashiri kwenye soko la njia tatu (1, X,2) yaani ushindi wa nyumbani (1), sare (X) na ushindi wa ugenini (2) ambapo odds za soko analochagua ziwe zaidi ya 1.60 na kiasi cha chini cha kubashiri kiwe Sh 2000/=

Rafiki akishaweka utabiri wake, ndani ya dakika kumi, Sh 2000/= itakuwa imeshaingia kwenye akaunti yako

Hakikisha wewe unayemualika rafiki yako uwe umeshacheza na SportPesa angalau mara moja ndani ya siku 30 au unaweza kucheza papo hapo na kualika rafiki yako.

Changamkia fursa hii sasa!

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW