Habari

Maelfu ya watu wahudhuria mazishi ya Akwelina Akwilini, Ulinzi waimarishwa (Picha)

Maelfu ya watu wamehudhuria kwenye mazishi ya mwanafunzi aliyeuawa kwa kupigwa risasi Ijumaa ya wiki iliyopita, Akwelina Akwilini yaliyofanyika katika kijiji cha Kitowo kata ya Marangu, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro.

Tazama baadhi ya picha za yaliyojiri kwenye mazishi ya Akwelina Akwilini;

Wazazi wa mwanafunzi Akwelina wakiweka mashada kwenye kaburi la mtoto wao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents