Siasa

Mafuriko jijini Dar es Salaam

Jangwani
Jangwani

Jiji la Dar es Salaam limekumbwa na mafuriko kutokana an mvua kubwa zinazoendelea kunyesha, inasemekana kwamba haijawahi kutokea mvua kubwa kama hii ndani ya siku moja tangu mwaka 1954.


Tumepata taarifa kwamba wanajeshi wanajaribu kuokoa wananchi katika baadhi ya maeneo na jitihada zinaendelea. Kwa kupitia ukurasa wake wa Twitter Rasi Kikwete ametangzasa namba ya kutummia kwa kutoa taarifa juu ya mafuriko ambayo ni +255-754-777775 ama kupitia hashtag ya Twitter #DarFloods

Picha hizi za maeneo yalioathirika zimepigwa na Wadau mbali mbali wakiwemo Bilal Ahmed, Issa Michuzi, Global Publishers na wengine.

Tutaendela kuwaletea taarifa zaidi pamoja picha

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents