Burudani

Magix Enga aliyesababisha UNO ya Harmonize kufutwa Youtube, ahamia kwa Olamide wa Nigeria ampa wiki moja – Video

Magix Enga aliyesababisha UNO ya Harmonize kufutwa Youtube, ahamia kwa Olamide wa Nigeria ampa wiki moja - Video

Mtayarishaji wa muziki nchini Kenya, Magix Enga aliyepelekea video ya wimbo wa Harmonize UNO kufutwa Youtube sasa amehamia kwa msanii wa Nigeria Olamide akidai wimbo wake amesample beat ya wimbo wake.

Wimbo wa Olamide unaodaiwa kusample beat ni Motigbana

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika haya:-

https://www.instagram.com/p/B5J51whn5gt/

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents