Burudani

Majibu ya Ed Sheeran baada ya kunaswa na pete ya uchumba

Pete aliyovaa msanii wa muziki Ed Sheeran katika usiku wa ugawaji wa tuzp za BRIT Awards 2018, zilizofanyika nchi Uingereza usiku wa tarehe 21, (Jana) imezua utata wa mahusaino aliyonayo kwa sasa.

Wakati amahojianao ya kiendela uapnde wa Red Carpet na kituo cha runinga cha Sky News ndipo shabiki aitwaye  Key alipoingia na kuhoji kuhusu pete aliyovaa  Ed Sheeran ni nini? bila kupepesa macho msanii huyo  akajibu kuwa si ya ndoa bali ni ya uchumba.

“It’s an engagement ring – because I feel like…I don’t know, I feel like it’s good to both do things,” alijibu Ed Sheeran.

Mwezi uliopita msanii huyo alitangaza kupitaia matandao wake wa kijamii wa Instagram kumchumbia mpenzi wake Cherry Seaborn.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents