BurudaniMichezo

Ronaldo, Messi na Neymar kuwania Ballon d’Or 2015

Majina ya wachezaji watatu watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka duniani yametajwa.

151130172052_ballon_640x360_d_nocredit

Wanaowania tuzo hiyo ni mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno, Cristiano Ronaldo, Lionel Messi wa Barcelona na Argentina na nyota wa Brazil, Neymar da Silva Santos JĂșnior, anayeingia katika kinyang’anyiro hicho kwa mara ya kwanza.

Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kike ni kiungo wa timu ya taifa ya Marekani, Carli Lloyd, Aya Miyama wa Japan pamoja na Celia Sasic wa Ujerumani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents