Burudani

Majina yaongezwa katika jukwaa la BET 2017

Majina mengine ya wasanii wanaotarajiwa kuwasha moto kwa kutumbuiza kwenye jukwaa la tuzo za BET mwaka huu yametajwa.

Wasanii waliotajwa kwenye orodha hiyo ni pamoja na Mary J. Blige, A$AP Rocky, French Montana, Gucci Mane, Maxwell, Swae Lee, SZA, Xscape, Khalid, El DeBarge and musician Kamasi Washington.

Wasanii wengine ambao wanatarajiwa kutumbuiza siku hiyo ni pamoja na Bruno Mars, Chris Brown, Dj Khaled, Migos, Future na Tamar Braxton.

Tuzo hizo zitafanyikaJuni 25 katika ukumbi wa Microsoft Theater in Los Angeles.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents