MakalaUncategorized

MAKALA: Hawa ndio Watanzania 50 wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2018

Wakati tunakaribia ukingoni mwa mwaka 2018, Bongo5 Media Group imekuandalia makala maalumu ya watu 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2018.

Majina haya 50 yametokana na maoni ya watu kwenye mitandao ya kijamii na wadau mbalimbali. Ambapo Bongo5 Media iliweka vipengele 8 ili watu waweze kupendekeza majina hayo.

Licha ya mapendekezo hayo kutoka kwa wadau, vigezo vingine vilivyoangaliwa ni kazi zilizofanywa na mtu husika, matangazo (Endorsements) na mchango wa mtu tajwa kwenye jamii yake.

(i)-WASANII 10 WA MUZIKI WENYE USHAWISHI ZAIDI KWA MWAKA 2018:

Image result for diamond platnumz wasafi festival
Diamond Platnumz

1-Diamond Platnumz.

2-Alikiba

3-Harmonize

4-Maua Sama

5-Vanessa Mdee

6-Rayvanny

7-Aslay

8-Nandy

9-Jux

10 – Mbosso

(ii)-WAIGIZAJI WA FILAMU NA WACHEKESHAJI :

Related image
Gabo Zigamba

1-Gabo

2-Joti

3-Riyama Ally

4-Kitale

5-Tinny White na Ringo

(iii)-WANAMICHEZO (Michezo mbalimbali ):

Image result for mbwana samatta
Mbwana Samatha

1-Mbwana Samatha

2-Hassan Mwakinyo

3-Simon Msuva

4-John Bocco

5-Abdi Banda

(iv)-WAANDISHI WA HABARI, WATANGAZAJI NA BLOGGERS:

Related image
Millard Ayo

1-Millard Ayo

2- Omary Tambwe (Lil Ommy).

3-Maulid Kitenge.

4-Fredrick Bundala (Sky Walker).

5-Sam Misago..

(v)-WANAMITINDO NA WABUNIFU WA MAVAZI:

Image result for Martin kadinda
Martin Kadinda

1-Martin Kadinda.

2-Jocktan Makeke (Makeke International)

3-Noel

4-Calisah

5-Kitupe

(vi)-WATAYARISHAJI WA MUZIKI NA WAONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI NA FILAMU:

Hanscana kulia kwenye picha

1-Hanscana.

2-Msafiri (Kwetu Studio).

3-Kenny (Zoom Production).

4-Abba Process.

5-Lizer.

(vii)-WAJASIRIAMALI :

Image result for faraja nyalandu wanafunzi
Faraja Nyalandu

1-Faraja Nyalandu.

2-Nancy Sumari.

3-Flaviana Matata.

4-Shilole.

5-Dick Sound.

(viii)WATUMISHI WA UMMA NA VIONGOZI:

Image result for Rais magufuli IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli

1-Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

2-Makamu wa Rais Mhe. Mama Samia Suluhu .

3-Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.

4-Waziri wa Habari, Dkt. Harrison Mwakyembe.

5-Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi.

6-Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu.

7-Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo.

8-Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda.

9-Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Aggrey Mwanri.

10-Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo.

© Bongo5 Media Group 2018

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents