Habari

Makamu wa Rais ajumuika na wazee wa CCM kuukaribisha mwaka mpya (+Picha)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amejumuika na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2018 kwenye makazi yake yaliyopo Tunguu, Wilaya ya Kati, mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents