Makamu wa Rais awatolea uvivu watendaji waliozoea kukaa Maofisini (+Video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awaambia watendaji kuwa huu si wakati wa kuambiwa kufanya kazi ni wakati wa kujituma mwenyewe; Tazama video hii Makamu wa Rais akiwaeleza ukweli watendaji wanaokaa maofisini baada ya kwenda kusikiliza shida za wananchi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW